wapenzi wasomaji karibuni katika safu ya kitabu hiki kilichoandikwa kuelezea maisha ya kweli yaliyomkuta mwandishi katika suala zima la mapenzi ni katika PENZI LANGU LANIKONDESHA nini kilitokea fuatilia mkasa mzima
ndongosi Joined: Nov-30-2010 |
jina langu halisi ni gerald mwingira,nimezaliwa tanzania dar-es salaam mhimbili hospital,nikasoma shule ya msingi chemchemi,sekondari ya kantalamba,nikajiunga na chuo cha ualimu tukuyu, napenda sana mawasiliano na watu wa rika mbalimbali