Kitabu hiki kina lengo la kukuongoza kivitendo kuliko kinadharia katika kuelekea mafanikio ya kitaaluma.Utakutana na mbinu,mifano na visa vitakavyokupa picha halisi ya mwanafunzi.Ungana name uongeze maarifa.
![]() |
Magambothekaka Joined: Oct-01-2016 |
Buliba Magambo.Ni mwandishi wa riwaya pamoja na vitabu vya uhamasishaji.Pia ni muhamasishaji kwa kupitia mazungumzo{motivational speaker} katika semina na makongamano mbalimbali.Alimaliza elimu yake ya kidato cha sita katika shule ya sekondari Benjamin.W.Mkapa mwaka 2014/2016 na kujiunga katika chuo kikuu cha Dar es salaam,akichukua shahada ya mass communication.