NYIMBO ZA WOKOVU

Tags: NENO
NYIMBO ZA WOKOVU

Created on: Mar-20-2014   Published on: Mar-20-2014

 

8.5"x11" - Hardcover w/Glossy Laminate - Color - Photo Book
Theme: Celebration    Sales Term: Everyone
20 pages    8197 reads    0 people's favorite    3 likes   
Add as a Favorite      Like it

List Price: $25.99 
Share with Friends
?
 

Description

Musifu Bwana; maana ni vema kuimbia Mungu wetu sifa; maana inapendeza, kusifu ni vizuri. Zaburi 147: 1.

….Tazama, kutii ni vizuri kuliko zabihu na kusikiliza vizuri kuliko mafuta ya ngombe. 1 Samweli 15:22

Na salama ya Kristo zitawale mioyoni mwenu, kwa sababu yake muliitwa katika mwili mmoja tena muwe watu wa kushukuru. Wakolosayi 3: 15

Kwa sababu Bwana Mwenyewe atashuka toka mbinguni na sauti kubwa, na sauti ya malaika mukubwa, na pamoja na baragumu ya Mungu: nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. 1 Watesalonika 4:16

Nanyi mtanitafuta, na kuniona wakati mutakaponitafuta kwa moyo wenu wote… Yeremia 29:13

Kwa sababu macho ya Bwana Mungu yanatembea-tembea katika dunia kusudi kujionesha kuwa Mwenye nguvu kwa ajili ya hawa, walio na moyo mukamilifu kwake. 2 Mambo ya siku 16:9

 
 

Author Profile

Mubalama Francois
Joined: Mar-19-2014

More Books From this Author:

Author's Personal Bookstore
 

Author Bio

KUHUSU MWANDISHI

Mtume na Missionnary Apostle MUBALAMA Francois NYAMULENGWA wa TAMBWE KITENGE Urlos wa Mwalimu ABDALAH TSHIMANGA wa KADIMA MULAYA wa Mungu ( Luka 3: 38) ni mme wa Mama Francoise KENGA MUZELEA na ni baba wa watoto wengi mwilini humo na katika Roho pia ni muzaliwa katika utumishi huu tangu mwaka 1985 pa KINDU, Maniema (Congo Democratic Republic ) na kupokeya mamlaka na utumishi ya Utume, Missionnary, Apostle na Muchungaji mukubwa tokeya mwaka wa 1990 katika Kanisa la Yesu Kristo, Station/Paroise za KINDU, SHABUNDA, MWENGA, KAMITUGA, BUKAVU, BUTEMBO, OICHA, KIGALI, NAIROBI kabla yay eye kukuja hapo Amerika kwa ajili ya utukufu wa Mungu wetu.

Akawa afisa mtendaji mkuu wa kianda RENAPI (MANIEMA : KINDU, KIBOMBO, SAMBA, KASONGO, KALIMA na SHABUNDA ), Mwalimu mukubwa wa hesabu Maniema ,kusini na kaskazini ya Kivu, nwespaperman na taarifa kesi sharia pa BUTEMBO.Yeye pia walianza kuandika hadithi fupi ajili ya kanisa lake mwenyewe alipokuwa..