Zawadi ni kitabu kinachomzungumzia msichana mdogo ambae alipoteza wazazi wake akiwa mdogo sana.Katika harakati za kutafuta pesa wazazi wa zawadi walijikuta wanaliwa na mamba wakali na hivyo kumuacha Zawadi akiwa hana msaada.Lakini mtoto huyu katika hali ya kushangaza alikuja kuwa shujaa mkubwa wa kijiji na hatimae nchi yake.
![]() |
Deonidas Mukebezi Joined: Mar-11-2018 |